ukumbuke kuwa mwenyeji keshasema vitu viwili ambavyo ana access navyo, kwa hiyo vipo vyote bila shaka yaani chai ipo na juice ipo, sasa mgeni kama ana uwezo wa kula vyote kwa nini asiagize vyote jamani
ina maana juice ndio kitu cha tayari kiliopo kwenye fridge, na chai ndio mwanzo ibandikwe motoni hivyo hawezi anza kwa chai. Isitoshe ameambiwa achague moja kati ya viwili sio vyote, njaa zake apeleke kwake
Mwenyeji alitaka mgeni wake achague Kimoja na vyote vipo tayari, hakuna cha kusubiriwa hapo..
So njemba ingechagua moja na sio chai huku akisubiri juice....khaa!!!kuna wenzio pia wanakuja!