Urithi upi ni sahihi???

Urithi upi ni sahihi???

herman relay

New Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Je kuna umuhimu wa kumpatia mtoto fungu lake kama urithi kabla ya kifo cha mzazi? refer katika vitabu vitakatifu
 
mim sioni haja ya kuendekeza urithi kwani matoto mengi yanayotegemea urithi yanakuwa majinga majinga. urithi wa mtoto wa kisasa ni ELIMU tu, maana ukimpa chochote kitapukutika ila elimu itamsaidia kuweza kumudu mazingira yake
 
Jamaa kauliza suala zuri kabisa lakini wakosefu wa elimu munajibu bila mpango. Sisi Waisilamu suala la urithi limo kwenye kitabu chetu kitukufu, Qur'an. Na hapo hapo napenda kuuliza kama kwenye Bible hakuna masuala ya kurithi.
 
Suala zuri ila linahitaji elimu. Sisi Waisilamu suala la urithi limo kwenye kitabu chetu kitakatifu, Qur'an, kwa hiyo huwa hatuna utata juu ya masuala kama haya. Ila napenda kuuliza kama katika Bible hamna mambo ya urithi.
 
Jamaa kauliza suala zuri kabisa lakini wakosefu wa elimu munajibu bila mpango. Sisi Waisilamu suala la urithi limo kwenye kitabu chetu kitukufu, Qur'an. Na hapo hapo napenda kuuliza kama kwenye Bible hakuna masuala ya kurithi.

kwenye Biblia Takatifu ipo ndugu yangu.
 
Je kuna umuhimu wa kumpatia mtoto fungu lake kama urithi kabla ya kifo cha mzazi? refer katika vitabu vitakatifu

labda useme wosia ila tafsiri ya urithi ni mzazi keshafariki (I stand to be corrected)
 
Niwazo zuri, Lakini kwa hichi kizazi cha bongo fleva ni hatari, nisawa na kujaribu kulala mlango wazi eti unapima je vibaka watakupitia.
 
Back
Top Bottom