Urithi oyeeeeeeee

Urithi oyeeeeeeee

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
G.jpg
 
Duh ndiomana me kwasasa sijishuurishi kabisa namademu, nilichokiamua nikutafuta pesa alafu mwisho wasiku nije nioe wajukuu/vitukuu vyahawa wanawake walionikataa kwasasa
 
Hamaaadi...atangulie mwanamke kufa!!!hiyo inaitwa mission impossible.
 
Wanawake na sie lol.... Sasa babu huyo kwenda nae out tu ni aibu akuuuu urithi wa hivi upite tu
 
Waacheni wazee wafaidi jamani, hata wao wana haki ya kupendwa.
 
Yeyote anayepinga ni limbukeni wa mapenzi. Mapenzi uyoga popote humea. Bila mbolea wala jembe la mkulima. Hao vibabu nao wanatamani kukumbukia saa 6 kamili. Chezea chuchuwaa weye. Huna haja ya vumbi ya congo ukigusa tu antena inasimama
 
Back
Top Bottom