Urgently: Natafuta PC core i7, used au mpya

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
Iwe na graphics mbili at least pia screen touch, ram 8 HDD 1Tb bajet yang ni mia 900 hadi 1m.
 
mara nyingi screen touch haviendi pamoja na dedicated graphics, na ukivikuta pamoja bei ni pasua kichwa
 
pia si i7 zote zinauwezo wa kuhandle game za sasa hivi, na laptop unakuwa limited sana.

unataka kucheza games lipi na lipi?
Game kama fifa 16, mortal combat,call of duty nk ila na prefer sana laptop maana me nimtu wa kumove move
 
Ipo dell optiplex 7010 core i3 3.4ghz(4cpu)ram 6gb,hdd 250,dvd writer...bei 380k

Ipo pia Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),2gb,hdd 250,graphics card,DVD writer....0655090000
 
Back
Top Bottom