Baba Erick JF-Expert Member Aug 24, 2011 483 75 Mar 13, 2012 #1 Hi wadau naomba graduate yeyote wa IT ambaye hana kazi na yuko dar anitumie Cv TU kabla ya saa tatu na awe tayari kwenda kwenye interview kuna kampun wanahitaj watu 2 haraka leo hii. Nipm nikutumie email yangu kama kweli unashida.
Hi wadau naomba graduate yeyote wa IT ambaye hana kazi na yuko dar anitumie Cv TU kabla ya saa tatu na awe tayari kwenda kwenye interview kuna kampun wanahitaj watu 2 haraka leo hii. Nipm nikutumie email yangu kama kweli unashida.
Utingo JF-Expert Member Dec 15, 2009 10,270 8,033 Mar 13, 2012 #4 na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo?
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 Mar 13, 2012 #5 Utingo said: na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo? Click to expand... I like this.... huwa nasemega ni mambo ya zima moto hayo ndio hayanaga utaratibu maalum
Utingo said: na kuachishwa kazi haitakuwa haraka hivyo hivyo? Click to expand... I like this.... huwa nasemega ni mambo ya zima moto hayo ndio hayanaga utaratibu maalum
D dav22 JF-Expert Member Feb 22, 2012 1,887 308 Mar 13, 2012 #6 da aisee nimechelewa....he he he au naweza tupia sasa hivi??