Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 149 Feb 11, 2016 #1 Habari wakuu, Ninaomba mwenye ufahamu wa walipo agents (Maduka) wa kuuza simu za Tecno hapa Dar anijulishe.Pia ningependa kujua bei ya Phantom Z na Phantom 5 mpya ikoje (Jumla na rejareja). Natanguliza shukrani!
Habari wakuu, Ninaomba mwenye ufahamu wa walipo agents (Maduka) wa kuuza simu za Tecno hapa Dar anijulishe.Pia ningependa kujua bei ya Phantom Z na Phantom 5 mpya ikoje (Jumla na rejareja). Natanguliza shukrani!
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,324 Feb 15, 2016 #2 Fika Kariakoo mkuu huwezi wakosa hapo