Urgent! naomba msaada kwenu webmasters

Urgent! naomba msaada kwenu webmasters

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Msaada jamani, napenda sana website templates za ms publisher. But inanitatiza kupublish baada ya kuwa nimecreate pages. Naomba mweny kujua anisaidie ili nitumie ms publisher ku create na kupublish website. Nimezoea kutumia dreamweaver, kompozer na bluegriffon halaf napublish kwa filezilla.
 
Hii kali nimeisikia leo, Mkuu kwa nini unataka kutengeneza website kwa Microsoft Publisher??
Static websites kwa nini usichukue muda wako kusoma HTML na CSS ili uweze kumanipulate site unavotaka?? Hakuna kitu rahisi kama HTML na CSS, soma two hours utaweza kutegeneza anything unachokiona kwenye hiyo publisher yako, more exercises baada ya wiki utaweza kutegeneza very good looking and responsive templates, hata kuweka some animations pia.

Usipende kurahisisha mambo kupitiliza, tunapenda cheap lakini isiwe cheap which is costful.
 
Html na css pekee hazitoshi hizo mutatutengenezea madudu tu

Kwa nini zisotoshe kwa mtu anayetaka static website?
Zinatosha sana tu, the only reason mtu atataka kutumia programming language ni kuifanya site iwe dynamic, apart from that its more than enough.. unless kwako kila static site ni madudu
 
Unapozungumza abt static website haimaanishi iwe static as unavyodhani na im talkng abt the web atraction ambayo inaweza ikamvutia user coz kma unajaribu kutengeneza website kwa ajili yako ww developer basi ujue haiwez kua web ndio maana kbla hujatengeneza website unatakiwa ujue almost 10 tips ambazo zitakusaidia kutengeneza a gud static website
 
Back
Top Bottom