Nani kakudanganya?Kwa scania kwa bei hiyo atapata bovu au atapigwa angalau angekuwa na 200 au 150milioni
Kwa scania kwa bei hiyo atapata bovu au atapigwa angalau angekuwa na 200 au 150milioni
Kwa maana hyo, Mungu akupenda anaweza pia pata kwa fedha hiyo hiyo.30 sidhan ila 50 anaweza pata zipo za kutosha , ww hapo uliesema 200 hiyo unazungumzia mpya, kuna jama a yangu ni uncle kiukoo kavuta scania kipisi iko vizur kwa kila kitu kwa 50mil
Hiyo sio scania ni skrepa ya scaniaNani kakudanganya?
Scania na Trailer yako mil 90 wapata
Asitishe watu Mkuu, kila mtu ana bahati yake, na kila mtu anashida zake.30 sidhan ila 50 anaweza pata zipo za kutosha , ww hapo uliesema 200 hiyo unazungumzia mpya, kuna jama a yangu ni uncle kiukoo kavuta scania kipisi iko vizur kwa kila kitu kwa 50mil
Kama ana 50 anapata ila chini ya hapo labda fusoKwa maana hyo, Mungu akupenda anaweza pia pata kwa fedha hiyo hiyo.
tuendelee kujuzana
Hiyo sio scania ni skrepa ya scania
Sawa mkuu mungu atakufanikishia gari siku hizi Bei ya kawaida sana kuna jamaa amenunua juzi na tela kwa 45Asante mkuu kwa kuwa positive.
Hilo la kuongeza anaweza, ni suala la kumshawishi tu.
Mwenye nalo anakaribishwa kwa mawasilino 0784581426
Yeap, ni kweli mkuu. Kila mtu na bahati yake.Sawa mkuu mungu atakufanikishia gari siku hizi Bei ya kawaida sana kuna jamaa amenunua juzi na tela kwa 45
Maisha yana mtihani mrefu kupata utapata ila tu usiwe na harakaYeap, ni kweli mkuu. Kila mtu na bahati yake.
Ni kama vile kumdharau barmaid, alafu kuna siku unakujakutana nae akiwa na cheo cha Uwaziri
Hapo mileage ni km 600,000 au Km 800,000 huko tena ya mwaka 2003/4.Nani kakudanganya?
Scania na Trailer yako mil 90 wapata
Za muda wakuu.
Knna ndugu yangu anahitaji gari aina ya Scania kwa ajili ya biashara.
ana 30mil
Mwenye nacho anicheki kwa namba 0784581426