URGENT:Nahitaji malori either flatbed au tipper zile semi

Stralis

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
618
Reaction score
613
Nahitaji malori tipper zile semitrailer kwa ajili ya kaz ya kubeba gypusm kwa maelezo zaidi njoo inbox..
 
Unahitaji kununuwa au kuwapa kazi ya kupakia clinker?
 
Unataka mangapi? Mi ninazo tipa (semi) zaidi ya 30. zinabeba hadi ton 40.
 


Nnakushauri tu, kama unachukulia gypsum kusini kati, basi kavizie magari yanayorudi tupu kutoka kusini. Kama unachukulia njia ya Tanga kasheshe.

Mume wangu aliijaribu hiyo kazi hailipi na utagombana na wenye magari na madereva kila kukicha.

Goodluck.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…