Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
sijakuelewa u mean unataka mchango?
mkuu kwenye ccm primaries mawakala walilipwa 20,000... kama unataka wakala wako asikuangushe mpe 50-100K, la sivyo atanunuliwa
Mkuu, nataka kutoa msaada basi usisite kama Mzee Sabodo alivyodhihirisha.. ila unasahau kuwa mwaka huu zaidi ya mawakala wa chama, tupo sisi mawakala wa kujitolea tutakaokuwa makini kulinda kura... hii isikuumize kichwa...
Makubaliano kati ya NEC na vyama vya siasa yalikuwa NEC itawalipa lakini leo NEC imeruka jukumu hilo chini ya makubaliano hayo.......Inashangaza NEC inawalipa wasimamizi na makarani wa muda iliyowaajiri lakini haipo tayari kuwalipa mawakala kama siyo njama za CCM mimi sijui hili linatoka wapi......
Tutakuwepo kote wala usiwe na wasiwasi ndnai na nje, wengine ni wasimamizi wa kura, wengine ni askai polisi, wengine ni wapiga kura ambao watabaki mita 100 kutoka kituo na tutakizingira kwa pande zote. Ondoa hofu kwani mwaka huu mabadiliko si jukumu la Chadema tu bali ni ya watanzania wote!Mtakuwa ndani au mita 200 mkuu?.
Tutakuwepo kote wala usiwe na wasiwasi ndnai na nje, wengine ni wasimamizi wa kura, wengine ni askai polisi, wengine ni wapiga kura ambao watabaki mita 100 kutoka kituo na tutakizingira kwa pande zote. Ondoa hofu kwani mwaka huu mabadiliko si jukumu la Chadema tu bali ni ya watanzania wote!
Kila mtu acheze nafasi yake... ikibidi mchangie wakala wa kituo chako iwe ndo mchango wako kwa mabadiliko wa kweli.
Sijui umenielewa mkuu? HIi ndo maana ya people's power!
Hapo kwenye DEEP GREEN, NEC wamepiga marufuku hii kitu, unapiga kura na baada ya hapo uaondoka kituoni kabisa.
Hapana, mkuu unapotosha umma. Tamko imetoka NEC - ruksa kusimama ndani ya mita 100 ya kituo. Wanaotaka kuleta longolongo ni wasimamizi wa uchaguzi katika wilaya lakini NEC imetoa ruksa.
kila mtu anajua kwamba lazma uzalendo uzidi kipato kuwa fairmkuu hii sasa itakuwa hatari sana. Vituo viko 51,800 kwa gharama ya 50,000 kwa wakala:-
51,800 x 50,000 = 2,590,000,000 bilion mbili na nusu, na wakiwa mawakala wawili kila kituo ni 5 bilion.
Hizi gharama vyama vya upinzani wanazo?.