Urgent Job Opportunities:World Vision Tanzania

Urgent Job Opportunities:World Vision Tanzania

Joined
Jul 24, 2012
Posts
36
Reaction score
10
World Vision is urgently recruiting qualified Tanzanian citizens to fill the below positions:

1:Security Adviser

2:Senior Internal Auditor

3:Internal Auditor

4:External relations Manager

5:Sustainable Local Institutions Coordinator

6:Sr.Program Officer

For details on job descriptions and how to apply visit our blog at: WORLD VISION TANZANIA CAREERS

NOTE:World Vision Tanzania does not charge any fees or ask for any payment in any stage of recruitment.DO NOT accept any request of payment.We only use e-mail dresses with a domain name wvi.org and not any other e-mail domain names such as yahoo,hotmail etc.
 
tatizo lenu udini mwingi ndugu... mnaimba kwaya mpaka ofisini!!!!

nimeshuhudia Shy kwenye morning prayers.. waislam je?
 
tatizo lenu udini mwingi ndugu... mnaimba kwaya mpaka ofisini!!!!

nimeshuhudia Shy kwenye morning prayers.. waislam je?

Sio kwamba wana uhuru wa kufanya au kutofanya hayo kwa kuwa wao ni taasisi binafsi/ya kidini? Nami ni muathirika wa hilo lakini nachukulia poa kama ndo hivyo. Ni kujiseti panapokufaa mkuu! kama vp unaweza kwenda nao sawa kimtindo ktk kuimba kwaya na mengne ilimradi maisha yasonge. Taarifa kama hii mi nawasogezea washkaj wajaribu bahati zao. Ila nimeskia licha ya mlengo wa kiimani lakini nako kupata mbinde! Kuna jamaangu ilimbidi afungue wallet kupata nafasi.
 
tatizo lenu udini mwingi ndugu... mnaimba kwaya mpaka ofisini!!!!

nimeshuhudia Shy kwenye morning prayers.. waislam je?

nani kakwambia ukaombe kazi msikitini au kanisani kama hutaki ibada kabla ya kazi. Ndiyo maana mimi ni utingo, i dont need to start with prayer. Nasali huko mtulinga unakwenda tena nasali kimoyomoyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom