kama wewe ni mwanadada unahitaji mume na una sifa zifuatazo nipm haraka iwezekanavyo
-uwe na kazi
-uwe mrefu kiasi
-usiwe mbaya sana wala mzuri sana kisura
-Usiwe mpare wala mhaya
Mengine yote yanajadilika baada ya kuwaona wahitaji
Wahi nafasi ni chache.