sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,999 May 19, 2019 #21 Hiyo kazi ahitaji kijana wa chuo kikuu kama nawewe umemaliza chuo kikuu na mind kazi za namna hiyo basi elimu yetu ina matatizo makubwa, kwanza sifa za kazi hiyo ni kujua kusoma na kuandika zaidi ya hapo ni uzushi tuu.
Hiyo kazi ahitaji kijana wa chuo kikuu kama nawewe umemaliza chuo kikuu na mind kazi za namna hiyo basi elimu yetu ina matatizo makubwa, kwanza sifa za kazi hiyo ni kujua kusoma na kuandika zaidi ya hapo ni uzushi tuu.