Urambo: Polisi wamewazuia Viongozi wa ACT Wazalendo kukagua miradi ya maendeleo na kusema miradi yote ni ya Serikali

Nilidhani miradi ni ya wananchi na mwananchi ye yote anaweza kukagua miradi yo yote kwani matumizi ya kodi ya mtu hayana mipaka.
What is the problem?
Tunaficha nini awamu hii.
Kwa nini tunazuiwa kutembelea kote nchini kwetu?
 
Mmeshaambiwa utawala ni wa serikali ya CCM,wanatekeleza ilani yao,ndio wanapanga miradi,ndio wanatoa idhini ya miradi,ndio wanaghalimia miradi.Ndio wenye mamlaka na ndio serikali.
 
Kusafiri ni elimu moja muhimu Sana binafsi naamini JK Safari zake za nchi mbalimbali zilimsaidia sana kumordernise akili ya kuweza kuishi na watu vizuri na kuweza kuchanganua mambo Kwa ufanisi [HASHTAG]#ukifanya[/HASHTAG] utafiti utaona hilo#
Pia kukaribisha wageni kuishi nchini maana wanaingiza maarifa mapya ya kufanya mambo. Ndiyo maana huwa sipendi tabia ya watanzania kutowapenda foreigners na kuwatenga.
 
Uccm ndo unakufanya ushindwe kuona... Zito kuenda kuangalia miladi apate kujifunza na kumpongeza diwani wake kunspunguza nn??
Sina hakikaa kama kweli UCCM ndio unanifanya nishindwe kuona.. VIPI WEWE SIO UCHAGADEMA/UKIGOMA ndio unakufanya Upinge kila kitu??????

Nani wa kumfundisha Kama Hata Mbunge mwenzake wa Jimbo hakuwa na Taarifa ya yeye kuwepo Jimbon?????

BTW... Kujifunza kunakovunja sheria kunavumiliwa na Nani????

Hiyo inaonyesha kumbe sisi pia ni vilaza wa kisheria hatuna sheria ya kumuonyesha yule askari tuliyemtukana kwamba hajui sheria ila sasa TUNAOMBA KWENDA KUJIFUNZA.. SIYO KUTUMIA HAKI KISHERIA KUWA TUNA HAKI?????

Kama ni kuona kile mwakilishi wetu Diwani anachofanya hilo jukumu lapaswa kufanywa na Kamati tendaji yake inayomfahamu na kumsimamia katika Kata na Jimbo...Hata kama anataka kujua yeye binafsi Taarifa anapewa katika vikao.. SIYO KUKAGUA MAANA HANA MSINGI WA KISHERIA..ILANI HUSIKA HAIJUI WALA HAKUCHAGULIWA KWAYO

think twice before you lip...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom