Urais Zanzibar: Wazanzibari waanza kuandaa SUTI

Urais Zanzibar: Wazanzibari waanza kuandaa SUTI

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Naam,

Ndicho kinajiri visiwani na inadaiwa "kimeeleweka".

Tusubiri, muda si mwingi tutakuwa na taarifa kamili.

Just FYI
 
Kichwa changu kigumu kuelewa, chepesi kusahau.

wazanzibari? suti? Na wazanzibara!!!!!!???? nimekubali
 
Naam,

Ndicho kinajiri visiwani na inadaiwa "kimeeleweka".

Tusubiri, muda si mwingi tutakuwa na taarifa kamili.

Just FYI

Nini kimeeleweka mkuu.? maelezo tafadhal ndg yangu bado cjakupata vizuri
 
mkuu informer mwaga mpunga tudonoe...nahisi mzee wa sawa sawa wameamua kumkabidhi...may be
 
Haya ndio Maisha ya siku hizi ndani ya JF, ni rahisi tu kama kumsukuma mlevi wa viroba. Yaani ukisikia kupost habari za FB humu Jf ni ruksaa tu.
 
Naam,

Ndicho kinajiri visiwani na inadaiwa "kimeeleweka".

Tusubiri, muda si mwingi tutakuwa na taarifa kamili.

Just FYI

Baba umekunywa gongo ya moto nn mbona unatetemeka bas kajipange uje ukiwa full conscious
 
Naam,

Ndicho kinajiri visiwani na inadaiwa "kimeeleweka".

Tusubiri, muda si mwingi tutakuwa na taarifa kamili.

Just FYI

MwanaHalisi hao akina Mzee Mwanakijiji wanataka kuuza magazeti yao!
 
Back
Top Bottom