ntamwangah
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 164
- 24
Mkuu, kuna watu wapo mtaani na wana hadhi kubwa kuliko wabunge.Unasema Zitto amepoteza wakati yupo bungeni na wewe upo unasaga rumba mtaani!!!
Wewe ndio umepoteza
Hakika miongoni mwa watu ambao watakaa kwa kujutia ni kaka yangu Zubery Zito Kabwe, Zito kaponzwa na tamaa na kujifanya yeye ndo yeye mpaka vikamfanya ajione hakuna mwingine zaidi yake na kumfanya apoteze uvumilivu.
Zito angekuwa amevumilia na kuwa na subira, sasa tungekuwa tunazungumzia urais na wenyekiti wa Zito uchaguzi ujao na angeshinda, sasa kapoteza nafasi na hawezi kuja tena ipata hiyo nafasi, labda aende CCM.
mbona unaficha ukweli. tatizo si zzk, tatizo ni mbowe. mbowe ndani ya cdm ameminya demokrasia, anaendesha chama kibabe na amekifanya mali yake. chama cha demokrasia na maendeleo, ni jina tu lakini chama chenyewe hakiakisi demokrasia ya kweli. mtu mwenye ambition, maono, mkweli na anayetaka kulitumikia taifa, cdm ya sasa si mahala sahihi. imepoteza mwelekeo. wakulaumiwa ni mbowe. huyu ameharibu ndoto za wengi kwa makosa makubwa ya kiufundi kamaHakika miongoni mwa watu ambao watakaa kwa kujutia ni kaka yangu Zubery Zito Kabwe, Zito kaponzwa na tamaa na kujifanya yeye ndo yeye mpaka vikamfanya ajione hakuna mwingine zaidi yake na kumfanya apoteze uvumilivu.
Zito angekuwa amevumilia na kuwa na subira, sasa tungekuwa tunazungumzia urais na wenyekiti wa Zito uchaguzi ujao na angeshinda, sasa kapoteza nafasi na hawezi kuja tena ipata hiyo nafasi, labda aende CCM.
hahahaha. ..mkuu unasema anasaga rumba mtaani.unajua ni nani huyo?Unasema Zitto amepoteza wakati yupo bungeni na wewe upo unasaga rumba mtaani!!!
Wewe ndio umepoteza
hahahaha. ...Mwenyekiti wa WAHAmbona unaficha ukweli. tatizo si zzk, tatizo ni mbowe. mbowe ndani ya cdm ameminya demokrasia, anaendesha chama kibabe na amekifanya mali yake. chama cha demokrasia na maendeleo, ni jina tu lakini chama chenyewe hakiakisi demokrasia ya kweli. mtu mwenye ambition, maono, mkweli na anayetaka kulitumikia taifa, cdm ya sasa si mahala sahihi. imepoteza mwelekeo. wakulaumiwa ni mbowe. huyu ameharibu ndoto za wengi kwa makosa makubwa ya kiufundi kama
m/kiti wa cdm. ajiuzulu. zzk awe na uvumilivu na subira, Mungu atampigania.
aliunda chama ndani ya CHAMA. ..kosa ambalo haliwezi kuvumilika duniani koteJe unazijua sababu zilizomfanya mpk akatoka CHADEMA!??
Hakika miongoni mwa watu ambao watakaa kwa kujutia ni kaka yangu Zubery Zito Kabwe, Zito kaponzwa na tamaa na kujifanya yeye ndo yeye mpaka vikamfanya ajione hakuna mwingine zaidi yake na kumfanya apoteze uvumilivu.
Zito angekuwa amevumilia na kuwa na subira, sasa tungekuwa tunazungumzia urais na wenyekiti wa Zito uchaguzi ujao na angeshinda, sasa kapoteza nafasi na hawezi kuja tena ipata hiyo nafasi, labda aende CCM.
mbona unaficha ukweli. tatizo si zzk, tatizo ni mbowe. mbowe ndani ya cdm ameminya demokrasia, anaendesha chama kibabe na amekifanya mali yake. chama cha demokrasia na maendeleo, ni jina tu lakini chama chenyewe hakiakisi demokrasia ya kweli. mtu mwenye ambition, maono, mkweli na anayetaka kulitumikia taifa, cdm ya sasa si mahala sahihi. imepoteza mwelekeo. wakulaumiwa ni mbowe. huyu ameharibu ndoto za wengi kwa makosa makubwa ya kiufundi kama
m/kiti wa cdm. ajiuzulu. zzk awe na uvumilivu na subira, Mungu atampigania.
Kiboko ya Mbowe ni Lowasa ukipenda muite " Mroho hasa"mbona unaficha ukweli. tatizo si zzk, tatizo ni mbowe. mbowe ndani ya cdm ameminya demokrasia, anaendesha chama kibabe na amekifanya mali yake. chama cha demokrasia na maendeleo, ni jina tu lakini chama chenyewe hakiakisi demokrasia ya kweli. mtu mwenye ambition, maono, mkweli na anayetaka kulitumikia taifa, cdm ya sasa si mahala sahihi. imepoteza mwelekeo. wakulaumiwa ni mbowe. huyu ameharibu ndoto za wengi kwa makosa makubwa ya kiufundi kama
m/kiti wa cdm. ajiuzulu. zzk awe na uvumilivu na subira, Mungu atampigania.
Lakin sio huyuMkuu, kuna watu wapo mtaani na wana hadhi kubwa kuliko wabunge.