Urais CCM 2015 angalau huyu hapa

Urais CCM 2015 angalau huyu hapa

Joined
Dec 1, 2014
Posts
10
Reaction score
0
wana jf hakika wote waliotangaza nia cjaona aliye na uwezo wa kuingoza nchi hii.kwa mbali angalau Prof mwandosya
 
wana jf hakika wote waliotangaza nia cjaona aliye na uwezo wa kuingoza nchi hii.kwa mbali angalau Prof mwandosya

Sumu Ile Imemwisha Mwilini Na ktk Medula Oblangata Yake? Unataka Utuwekee Rais Mental? Labda Awe Rais Wa Jimbo lake.
 
Amewahi kuifanyia nchi hii nini zaidi ya kuendekeza ubinafsi Wa kujenga kiwanja cha ndege kwao mbeya.
 
Kwa hiyo Tanzania ni hao tu waliotangaza nia. Sisi kama watanzania na JF hatuweza kuainisha presindential materials na kushawishi ili wale tunaoona wanafaa waingine kwenye mchakato? Ukiangalia kwa kiwango kikubwa wote tunashabikia hawa hawa ambao wameshindwa kutuletea mabadiliko au waliotengeneza misingi itakayosimamia maslahi yao. Inabidi ifike mahali tujipime wenyewe au tupimane kupeana support ili kuleta mabadiliko ya kweli. Vinginevyo watu ni walewale, hoja zile zile majibu yale yale marahisi na ushabiki ule ule na hatimaye umaskini zaidi.
 
wana jf hakika wote waliotangaza nia cjaona aliye na uwezo wa kuingoza nchi hii.kwa mbali angalau Prof mwandosya

Unafahamu huyu ndiye aliyeuza shirika la posta na simu sasa ni TTCL kwa kupewa hongo yakusomeshewa binti yake afrika kusini?
 
Amewahi kuifanyia nchi hii nini zaidi ya kuendekeza ubinafsi Wa kujenga kiwanja cha ndege kwao mbeya.

So stup!d, charity begins at home. Kuna mtu amekuwa kiongozi miaka 10 au hata 20 lakini hawezi kuonesha alichokifanya kwa ajili ya wilaya yake. Kama mtu akishindwa hilo hata nchi yake hawezi kuifanyia kitu.
 
Tukitaka taifa letu lirudi kwenye hadhi yake, lazima rais atoke nje ya ccm, nje ya hapo tanzania itaendelea kuumia tu kwa wizi, ubadhilifu na hata ufisadi. Tatizo ndani ya ccm wanalindana na hilo sio tatizo la kumalizwa na mtu mmoja ndani ya ccm!
 
wana jf hakika wote waliotangaza nia cjaona aliye na uwezo wa kuingoza nchi hii.kwa mbali angalau Prof mwandosya

Wakitaka kusimama na ukawa labda wamsimamishe Warioba. Huyo Mwandosya itakuwa India kila week.
 
Mwandosya.....!!!
CCM hakuna anayefaa.
 
Tutaduwaa Baada JK kumtangaza Kijana mmoja anaejua siasa za fitina Balaa anaitwa EN
 
Mbona unajichanganya..hakuna halafu unamtaja mwandosya...kama umevurugwa hivi
 
Alilinda maoni ya wananchi kwenye bunge la katiba?. He is a rotten canty.
 
Uzuri ni kuwa, kila anayetajwa kwenye nafasi ya Urais, wote wanatoka CCM.

Hongereni kwa kuendelea kuiamini ccm.
 
Back
Top Bottom