MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Kama ni mwanamke awe Prof Tibaijuka pekeyake ndio ataweza kupasuana vichwa na vichaa waliojaa hapa tanzania la sivyo hao wengine bado sana hawajakomaa kupambana na vichaa hawa na serikali hovyo hii!mtawapasua vichwa bure
Acha unafiki wewe kwan amejitahid sana sio kila kitu unapinga bila sababu na bado muda wake haujaisha so sehemu iliyobaki ataimalizia tu. big up tibaijuka. Kila kitu Cdm, angalia matendo na sio ushabiki aw Chama.Huyu Mama anafagiliwa sana for Nothing!! Wizara hiyo ya Ardhi ni so demanding!! Simuoni anachokifanya!! Fikiria miji yote Tanzania inazidi Kuwa squatter Yeye anadhamana na Hana Plan b"" Kuna maeneo ambayo anaweza Hata kuwahi na kuweka becons kuzuia maeneo ya barabara, Just to deploy surveyors na kuwapa watu awareness ya kujua umuhimu wa kuwa na barabara za Mitaa!! Yeye amekalia kulita mambo makubwa! Adress without Haya Madogo!! Poor on her!! Shallow minded!!
Acha unafiki wewe kwan amejitahid sana sio kila kitu unapinga bila sababu na bado muda wake haujaisha so sehemu iliyobaki ataimalizia tu. big up tibaijuka. Kila kitu Cdm, angalia matendo na sio ushabiki aw Chama.
Wana bodi
CCM ikimsimamisha mmoja wa makundi haya, itashindwa kabla ya saa 4 siku ya kupiga kura 2015:
-Mzanzibari
-Mwanamke
-Fisadi Papa
-Asiyetoka Kaskazini
Mnisamehe kama mchango wangu unanuka udini, ukabila na ueneo. Nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa, na mawazo yetu lazima yakae vibaya.
Kwanza wanawake wanaongoza kwa kutopendana na kutoaminiana, wako radhi kumpa kura mwanaume kuliko mwanamke mwenzao, believe me!Kumbuka itakuwa vita ya jinsia, wanawake wataaminishwa wakiwezeshwa wanaweza. Sasa sijui kama njia hii itafanya kazi.
Atakayemchagua kiongozi kwa jinsia yake ni mfinyu wa fikra na wala si mzalendo mwenye kuona mbali. Kiongozi sio jinsia bali ni uwezo.Kumbuka itakuwa vita ya jinsia, wanawake wataaminishwa wakiwezeshwa wanaweza. Sasa sijui kama njia hii itafanya kazi.
Wana bodi
CCM ikimsimamisha mmoja wa makundi haya, itashindwa kabla ya saa 4 siku ya kupiga kura 2015:
-Mzanzibari
-Mwanamke
-Fisadi Papa
-Asiyetoka Kaskazini
Mnisamehe kama mchango wangu unanuka udini, ukabila na ueneo. Nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa, na mawazo yetu lazima yakae vibaya.
Kwanza wanawake wanaongoza kwa kutopendana na kutoaminiana, wako radhi kumpa kura mwanaume kuliko mwanamke mwenzao, believe me!
Kama ni mwanamke awe Prof Tibaijuka pekeyake ndio ataweza kupasuana vichwa na vichaa waliojaa hapa tanzania la sivyo hao wengine bado sana hawajakomaa kupambana na vichaa hawa na serikali hovyo hii!mtawapasua vichwa bure
mtatokwa povu sana ila kama si tiba bac mama migiro tutamtuma subirin kusoma no. 2015
Ningemuona ni mkweli kama angeeleza bungeni sababu ya kumlipa Ndungulile peke yake na kuwaachaAcha unafiki wewe kwan amejitahid sana sio kila kitu unapinga bila sababu na bado muda wake haujaisha so sehemu iliyobaki ataimalizia tu. big up tibaijuka. Kila kitu Cdm, angalia matendo na sio ushabiki aw Chama.
Oh! mmeshaona kuwa hamna namna ya kushinda 2015,hivyo ili kupata kisingizio mnaleta
utoto wa kujidanganya muweke hivyo vibibi mtachemkaje maana hata vibibi vyenzao
vijijini vimeshashtuka kuwa CCM ni janga la kitaifa hivyo havitawapa kura.