Urais 2015: Mwigulu, January hoi

Urais 2015: Mwigulu, January hoi

Duru za siasa ndani ya chama cha mapinduzi zinaeleza papara, mbwembwe na kukosa umakini kumeua matarajio na future za vijana hao kisiasa na sasa si tu ndoto za urais kuyeyuka hata majimbo yao kuyatetea itakuwa ni kazi.

Kuhusu January makamba inaelezwa ni mtu mchanga kisiasa, uwezo mdogo uelewa mambo, matokeo mabaya ya kidato cha nne na sita, kujisikia na dharau inaelezwa ni vitu ambavyo vimemgharimu kiasi cha kufifisha matarajio yake.

Mwigulu Nchemba huyu inaelezwa papara, tamaa za kupitiliza za madaraka,mahusiano hasi na wajumbe wenzake wa sekretarieti na ufisadi aliouanza hivi karibuni wizara ya fedha wa kupokea rushwa toka kwa watoa huduma serikalini na kugharamia vituo viwili live mikutano ya Mwanza na matumizi makubwa ya fedha kwa baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu hayo yanaelezwa ni baadhi ya mambo yalimuondolea sifa.
Hivi sasa ndani ya chama chapuo linaelekezwa kwa Mwandosya, Pinda na Migiro.

Nawasilisha

mbona uliowataja wote wagonjwa!!!!1
 
Urais,mhh wamuongoze nani?labda wakagombee urais kwenye familia zao wawaongoze wake zao na watoto zao.
 
Vipi Kibaji au John Komba na Dr. Ole wa Mosh tech enzi hizo

Rais ni Edward Lowassa wengine Jk kawafanya wauone ni kama wa Chama cha Bao
 
Vipi Kibaji au John Komba na Dr. Ole wa Mosh tech enzi hizo

Rais ni Edward Lowassa wengine Jk kawafanya wauone ni kama wa Chama cha Bao ndo maana Walikuwa wanautaka maana wanashangaa Jk alipitaje kumbe hawajui zama zinabadilika
 
Machozi ya watanzania iwalaani hadi vitukuu vyao. Hawa wana Chama Cha Mashetani kuwashabikia ni sawa na kumshabikia shetani. Wana CCM wote ni ukoo wenye laana. Tunaelekea wokovu wa kweli, na yeyote atakayejaribu kukwamisha wokovu wote, bahari itafunguka na kummeza.

Madhambi yao yote wanayoyanfaya gizani yanakuja kwenye mwanga wa alfajiri. Tumuombee Dr. Slaa atuvushe salama tukiwaacha nyuma huko wakikatana mapanga. Mwigulu kwa kutaka kumuua Dr. Slaa, Mungu amlaani. Natamani 2015 nimshike huyo mtu na kumhoji kwa kipindi cha mwaka mzika kabla ya kupata adhabu anayostahili. Damu ya watanzania imuandame daima

Slaa awavushe kutoka wapi kwenda wapi? Mazwazwa bado mko kwenye ndoto za mchana? Siku Zwazwa kuu likipata Uraisi nitahama Tanzania
 
Slaa awavushe kutoka wapi kwenda wapi? Mazwazwa bado mko kwenye ndoto za mchana? Siku Zwazwa kuu likipata Uraisi nitahama Tanzania



mpo wachache sana wa aina yako nendeni tu mtuwachie nchi yetu tuiendeleze...mmetuharibia kila kitu kuanzia elimu viwanda barabara za kichina hata nidhamu hakuna tena wala dira hakuna nenda utatamani kurudi lakini hutaweza kwa aibu itakayo kupata nakushauri nenda kimya kimya
 
Back
Top Bottom