mpiganiaukweli
Senior Member
- Jul 16, 2014
- 107
- 27
Duru za siasa ndani ya chama cha mapinduzi zinaeleza papara, mbwembwe na kukosa umakini kumeua matarajio na future za vijana hao kisiasa na sasa si tu ndoto za urais kuyeyuka hata majimbo yao kuyatetea itakuwa ni kazi.
Kuhusu January makamba inaelezwa ni mtu mchanga kisiasa, uwezo mdogo uelewa mambo, matokeo mabaya ya kidato cha nne na sita, kujisikia na dharau inaelezwa ni vitu ambavyo vimemgharimu kiasi cha kufifisha matarajio yake.
Mwigulu Nchemba huyu inaelezwa papara, tamaa za kupitiliza za madaraka,mahusiano hasi na wajumbe wenzake wa sekretarieti na ufisadi aliouanza hivi karibuni wizara ya fedha wa kupokea rushwa toka kwa watoa huduma serikalini na kugharamia vituo viwili live mikutano ya Mwanza na matumizi makubwa ya fedha kwa baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu hayo yanaelezwa ni baadhi ya mambo yalimuondolea sifa.
Hivi sasa ndani ya chama chapuo linaelekezwa kwa Mwandosya, Pinda na Migiro.
Nawasilisha