Uraibu na kujieleza (Addiction and Expression)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,751
Reaction score
15,545
Mada yangu imekaa kiswali zaidi tuzungumzie Uraibu, upi mzuri na upi mbaya
Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya

Uraibu (Addiction)
Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi...

Na moja ya Vitu ambavyo vinawakutanisha watu kufurahi ni Uraibu, Uraibu unagusa milango ya fahamu (macho, masikio, pua, ngozi, Kinywa(ulimi))
Umewahi kujiuliza kwanini baadhi ya watu hupenda chakula chenye Pilipili nyingi sana na wengine hawapendi ?

Expression
Ni jambo gani wewe ni fundi wa kulifanya kwa vitendo mbele za watu?

watu wanaweza kuwa na addiction na wewe kwa vitendo vyako ?
maybe Sex expression or Happy expression

Unaishi ukitumikia mlango upi wa fahamu,
Baadhi ya watu ulevi wao mkubwa ni kupewa attention na watu wengi, ikipotea basi atatumia gharama yoyote kuirudisha.

Masikio na Macho hupitisha uraibu hatari zaidi, ni kipi unapenda kikiona sana na kukisia bila kujizuhia ?

URAFIKI
Psychology inasema mtu Mwenye akili yenye nguvu ni Mtu anayeweza kuikamilisha Amani na Furaha yake akiwa mwenyewe bila mawazo au approve ya watu wengine

Je unamsimamo kiasi gani kufanya jambo bila kujali waliokuzunguka wanasema nini ? Ni kweli waliotuzunguka hawajui tunakwenda wapi na nini ndoto ya kila mmoja wetu, ndoto hazifanani.

Kupunguza marafiki wasio na faida.
Moja ya zawadi Pekee nayoweza kumpa tu asiyeelewa misimamo yangu ni Kumfungia vioo, kumnyamazia na kwenda mbali nae.

Je nguvu yako ya kutoka kwa watu fulani inajitosheleza ?

Msaada au connection ya jambo lako unaweza kupata kutoka kwa Mtu mwingine, Lakini Pia hatima na Mambo Makubwa ya watu huaribiwa na watu wa karibu.

Who is on your circle

Rafiki zako wanaweza kukusaidia kwenye shida kama wewe unavyoweza kujitoa kwa ajili yao ?

au Huna rafiki, hutegemei mtu na kuwachukulia watu wote kwa usawa hata akiwa ni mzazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…