Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa na kuchagua uraia wa nchi moja kati ya URAIA wa wazazi wake ama nchi ambayo amezaliwa. Na hilo nadhani LAZIMA achague nchi moja sababu TANZANIA haiko katika dual citizenship. Kama Nchi ambayo amezaliwa ina dual citizenship haiwezi kumkatalia kuwa na URAIA wa nchi nyngine, Lakini Tanzania LAZIMA Kuapa ili uwe kamili.
Sasa LEO Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi katika Taarifa ya habari saa 2 usiku anatuaminisha kuwa mtu aliyezaliwa nchi ya nje kumthibitisha kuwa ni Mtanzania inabidi tuwaulize nchi hiyo kama sio raia wao ili awe wetu.
Naomba ufafanuzi kwa wale watu waelewa wa issue hii atafafanulie ile tujue cha kufanya kuhusiana na watoto wetu ambao wamezaliwa nje.

Hapa ni lazima tuzungumzie sheria ya Tanzania inayohusu mambo ya uraia na uhamiaji inasemaje kuhusihanana mazingira mbalimbali anapozaliwa mtoto nje ya nchi au ndani ya nchi. Na case zenyewe ni hizi:
1. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi wambao wote si raia wa Tanzania
2. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi ambao mmoja wao (Baba au Mama) ni rai wa Tanzania
3. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi wote (Baba na Mama) ni Raia wa Tanzania
4. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi mmoja wao (Baba au Mama) si raia wa Tanzania
Je, sheria ya Tanzania insemaje kuhusu cases hizo?
Ikiwa kuna utata wa sheria ya Tanzania, ni mahakama kuu au ya Rufaa yenye mamlaka ya kutoa tafsiri sahihi ya kisheria. Kwa hiyo suala hili inabidi labda lipelekwe mahakamani ili tafsiri sahihi ipatikane. Kuna case nyingi za aina hiyo zilizowahi kuamuliwa na mahakama kuu:
1. Kesi ya Azim Pemji
2. Kesi ya Idi Simba
3. Kesi ya Arcado Ntagazwa
Kuna kesi nyingine hazikwenda mahakamani lakini kuna watu walivuliwa uraia, je, walivuliwa uraia kwa vigezo gani?
1. Jenerali Ulimwengu
2. Mwandishi wa habari wa Zanzibar (Jina nimemsahau)
3. Kiongozi mmoja wa CCM mwanamke kule Zanzibar (Jina nimelisahau)
nnnnn.k
Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa na kuchagua uraia wa nchi moja kati ya URAIA wa wazazi wake ama nchi ambayo amezaliwa. Na hilo nadhani LAZIMA achague nchi moja sababu TANZANIA haiko katika dual citizenship. Kama Nchi ambayo amezaliwa ina dual citizenship haiwezi kumkatalia kuwa na URAIA wa nchi nyngine, Lakini Tanzania LAZIMA Kuapa ili uwe kamili.
Sasa LEO Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi katika Taarifa ya habari saa 2 usiku anatuaminisha kuwa mtu aliyezaliwa nchi ya nje kumthibitisha kuwa ni Mtanzania inabidi tuwaulize nchi hiyo kama sio raia wao ili awe wetu.
Naomba ufafanuzi kwa wale watu waelewa wa issue hii atafafanulie ile tujue cha kufanya kuhusiana na watoto wetu ambao wamezaliwa nje.
Huyu si Raia wa Tz kwasababu kitendo cha kuzaliwa Tz pekee hakikupi utaia wa Tz1. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi wambao wote si raia wa Tanzania
Huyu ni raia wa nchi mbili(dual citizenship) kwasababu mmoja wa wazazi wake ni Mtz, Lakini akifikisha miaka 18 itabidi akana uraia wa mmoja wa wazazi wake ambaye sio rai wa Tz2. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi ambao mmoja wao (Baba au Mama) ni rai wa Tanzania
It depend,3. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi wote (Baba na Mama) ni Raia wa Tanzania
Hii ni kama No 1, anakuwa na uraia wa nchi mbili(dual citizenship), yaani wa baba/mama ambye ni Mtz na wa mama/baba ambaye si Mtz4. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi mmoja wao (Baba au Mama) si raia wa Tanzania
Huyu Soi ikitokea magamba wakashinda wa kuiba kura kama kwaida yao,Sioi atavuliwa Ubunge tu mahakamani,jaji Lubuva naye alilipa fadhila kwa kuteukiwa na Mkt wa Magamba kuwa Mwenyekiti wa Tume.Jamani katiba mpya ni muhimu sana kuondoa huu upuuzi wote.