In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.URAIAPACHA NI SERA YA CHADEMA. Inasemekana Uongozi wa juu wa CHADEMA ni raia wa Marekani, akiwamo Mwenyekiti na Makamu, moja kwa moja au kupitia kwa mke na watoto. Uraia pacha ni nini?
Ili uwe Raia wa Marekani kuna Ibada lazima ifanyike inaitwa OATH. Kwa jinsi ilivyokaa, OATH hairuhusu uraiapacha kwa vile inakutaka uikane Tanzania kabisa kabisa.
Soma mwenyewe:
The Oath of Allegiance to the United States is a sworn declaration that every citizenship applicant must recite during a formal ceremony in order to become a naturalized American citizen. The Oath ceremony is a tradition dating back to the 18th century.
Oath
"I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God."
propaganda za kipumbavu hazitawasaidia subirin 2025 ndio mtatujua vizuri na ujinga wenu wa lumumba.In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.
Mwaka 1991 George Bush alivamia Iraq, akateketeza TANESCO yao yote kabla ya kuvamia. Inasemekana kazi ya kuongoza mashambulizi ilifanikishwa na diaspora, raiapacha wa Marekani.
Vita vyote duniani, na maasi, mapinduzi, uhujumu, kukamatwa mali, kutoa aunkufichwa ushahidi, hufanywa na diaspora raiapacha. CHADEMA wana lengo gani hapa hasa hasa?
Acha uongo Mkuu. Huoni aibu? Mwaka 1972 wakati wa Idd Amin Uganda ilikuwa na utaratibu wa raia pacha? Uganda imeanza lini sera ya raia pacha? Inaonekana hujui hata maana ya raia pacha.In practical terms, what does this mean? Ni hatari. Mwaka 1972 Jeshi la Israel lilivamia uwanjazwa ndege wa Entebbe kuokoa raia zake waliokuwa wametekwa na PLO. Ni jambo jema, lakini Jeshi la Israeli lilisaidiwa na raiapacha waliokuwa wanaishi Uganda, yaani Raia wa Uganda.
So, hakuna uraiapacha hapa kwa miaka 50 kama alivyosema Karume kuhusu uchaguzi Zanzibar, na kweli wakakaa miaka 50.So What ?
Ndugu "yangu" hawezi kuwa raia wa nchi "fulani" fafanua. Kama kweli ni ndugu yangu na ninakufa na njaa kwa nini asinisaidie? Masharti ya nini kw?nduguyaji? Mbona mapadri wazungu kwa bure tu walitusomesha na kutupa neno la Mungu kwani ni ndugu zetu?kuna ndugu yako ni raia wa nchi fulani na anakopesheka ila anataka kuwekeza nchi yako kama mzawa.unataka habaki huko
Kesho ikizika vita kati yetuna Marekani hawa watatusaliti.Viongozi wa juu wote familia zao ni wamarekani. Unadhani hii sera wataiacha? Watoto wao wakija kurithi ardhi, sheria inazuia, kwa hiyo wanapambana ili wamarekani wao waje waibebe ardhi ya Tanzania, ukoloni uanze tena upya
KabisaKesho ikizika vita kati yetuna Marekani hawa watatusaliti.
Of course. Si unakumbuka ili ndege yetu ilikamatwa Canada baada yactundulissu kuiba nyaraka za mahakama akazivujisha huku akidai ni siri yake na mabeberu? Na zittokabwe akazuia mkopo wa WB ili kwanza turuhusu mimba darasani?Kabisa