Kiboko wapii?
Kakosa staha na hulka ya kike.Kidomo juu juu kuchambana na fansii mpaka tumejua kuwa kalitaka kujiua
Vipi hivi ile kesi yake ya The Great imekwisha?
Mahakama za tz buana.Oscar pretorious ashajua hatma yake, Haka ka Andunje kamehakikishiwa hakatopigwa hata mvua moja ingawa kesi za mauaji bila kukusudia upo uwezokano wa kupigwa mvua japo 2
Cc: @ Ruttashobolwa