Urafiki wa uwongo

Urafiki wa uwongo

Pwembweleo

Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Mtu moja mcha Mungu alipewa nafasi ya kuomba kitu chochote kwa Mungu kwa sharti kuwa atakachoomba rafiki yake atapewa mara mbili yake. Jamaa akafikiri akaona akiomba kitu chochote kizuri mwenzake atamzidi yeye. Basi akaomba ang'olewe jicho ili mwenzake ang'olewe yote mawili. Akawa chongo na mwenzake kipofu.
 
kweli kuna watu wanajua fitina!.................. ,,,,, hii inafanana sana na michongo ya mawizarani ukipewa kitengo chenye ulaji halafu unakuwa mgumu kuachia issue basi inachezwa movie unapandishwa cheo, unafanyiwa pati kubwa ya kukuaga unahamishiwa mafia au pemba!
 
Back
Top Bottom