pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Binafsi naamin sana katika aina hii ya urafik..
Opposite sex always urafik wake unakuwa sio wa kinafiki like me + ke..
Lakini katika harakati zangu kibongo bongo naona kama hatuwez hivi..
mwanamke au msichana lazima ata take advantage kwa mwanaume kwa baadhi ya vitu especially kwenye kulipa bill, nauli nauli na zawadi zawadi..
Nimekuomba urafik bidada jus tu keep company...
Najua unashughuli zako za kukuingizia kipato na una movement zako kabla hata hatujaonana wala kujuana..
Nakuuliza uko free tuonane!? Unajibu ndio..
Nakuambia njoo bas niko sehemu flan nimechill so kama uko sawa u can join me..
Unaanza na lame excuses like ngoja niangalie kama nna nauli!? Au utanilipia pikipik!??
Bidada vitu vingine vidogovidogo maliza mwenyewe coz unavyonitajia vishida vyako vya ajabu ajabu kisa tu nimeomba kuonana na wewe...
What if kama nataka kukupa mchongo wa maana or what if kama kuna deal ya maana nataka kukukutanisha na wadau!?
Wakat mwingine usifanye mizinga iku define who u r!!!! Like yule dem anapaga mizinga balaa n stuffs like that..
By the way mtu kama mm nikikuita tuonane bas kila kitu kitakuwa juu yangu.. lakin kuna wenzangu na mm akikuita afu umletee habar za hela hela anakuona mchawi.. anakutupa..
So tafuteni sababu zingine ambazo wanaume hawata hisi negatively kuhusu nyinyi..
Af na nyie wana wake mnaojifanya relationship zenu zipo complicated pindi mnapokutana na wanaume wapya!!! Au mnajivika usingle wakati mna wapenz wenu mna kuwa mmetarget kitu gan!??
Msipende kuonekana waongo kwenye ishu za kawaida..
Urafiki ni kitu kikubwa chenye thaman sana so msije kukosa watu wa maana coz naamin urafik ndo unapelekea uchumba na relationship za maana..
Siku hiz wanaume wanataka mwanamke ambae yupo independent na anajimudu na ni mpambanaji..
Haijalish ni rafiki au ni mpenzi.. so usijirahisishe kwa mwanaume like huna kitu.. mi nachukia sana nikisikia hauna nauli au hauna vocha ya kunitafuta mpaka mm nikutafute..
Wakati mwingine mnakosa mambo mengi sana.. na ukiwa mrahisi sana unajua utavyotumika kwa mwanaume..
Msipende kuonekana mpo chini wadada..