Urafiki wa mashaka

Mkuu mbona sijakuelewa kabisa?unaweza kufafanua kidogo?kutokuiona mikono yao ya kulia kumenishitua sana,nahisi kuna harufu ya kubashiana hapo!hawa jamaa hawajatulia kabisa!
 
Kulia ni Shafih Dauda na kushoto ni mzee Akilimali, walikua maadui wa kalamu na sauti sasa wamekutanishwa......Akilimali alidai Shafih ndiye amesababisha Maximo asije Yanga, Shafih akatoa siku saba............
 
Mikono yao ya kulia wameificha wapi?
 
Jamaa mwenye Yebo Yebo ndiye anataka kuwa Raisi wa YANGA kweli TZ ni kila kitu!!
 
Hiyo picha haiilipi kabisa!
Unavaa suti then unapigishwa picha na mtu kapiga Yeboyebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…