Urafiki wa Dr Magufuli na Raila Odinga sasa uwe katika facebook.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wakuu.

Raila na Pombe hawakukutana barabarani kwa kuwa urafiki wao ni zaidi ya masuala ya kifamilia.

Hawa jamaa huwa wanatembeleana kila mara ktk shida na raha na hata kuapishwa Rais Pombe mshikaji wake toka Kenya alikuwepo.

Natoa rai kwa rais wangu kunyata kidogo kwani urafiki wao unaweza kutusababishia 'diplomacy fear' na utata wa uhusiano ama 'fear of unknown' kwa kuwa Raila ni mpinzani mkubwa wa Serikali ya Jubilee inayoongozwa na Uhuru Kenyatta.

Kuvunja urafiki na mtu ni ngumu ila Magufuli ajaribu kuweka ktk mizani fikra za Uhuru kuelekea uchaguzi ujao,upinzani toka kwa Raila na hatma ya uhusiano wa kidiplomasia.

Vinginevyo kudumisha udugu wao wawasiliane kwa barua kupitia posta.

Samahani simchagulii Rais Marafiki.
 
Nahisi wewe ni mbaguzi wa hali ya JUU sana.si Ajabu kama ikitokea una wafanya kazi au watu walioko chini yako unawanyanyasa sana.maneno yako yameandikwa kwa kukurupuka PASIPO kufikiri. Unandika usichojua. Uliza na upate taarifa sahihi ndo uje uandike tena kuhusu hawa waheshimiwa.
 
Raila hatokuja kuwa rais kwa sababu agenda zake ni hatari kwa usalama wa taifa la kenya. Ni sawa na seif zanzibar
 
Bora Magufuli na Odinga wataendelea kuongea. Kimbembe ni kati ya Lowassa na Nabii TB Joshua sijuwi kama lowassa atakanyaga tena Nigeria.
 
Umenikumbusha Dr slaa na Gwajima.. Good family friends, they were...
 
Raila hatokuja kuwa rais kwa sababu agenda zake ni hatari kwa usalama wa taifa la kenya. Ni sawa na seif zanzibar

Wewe mjinga kweli kimbe raisi huchaguliwa na wananchi wenye hio ndio diplsmasia .

Sasa Ukitaka usitake Seif wazanzibar wenyewe wanamenda sasa una ubavu gani wewe wakuweza kuwazuia chaguo lao wananchi wenywe wa Znz?

Au ndio utapeleka Jeshi kuzuia mabadiliko ?

Usimfananishe Raila na Seif, Seif wazanzibsr wenyewe wanampenda na kura za raisi wa Zanzibar upingwa na wazanzibar wenyewe .

Sasa tuseme husikii lakini hata huoni wazanzibar wanavyo mpenda Seif wao?
 
Back
Top Bottom