Funuki Nungula
Member
- Jan 12, 2021
- 9
- 9
We umeoa?URAFIKI HADI NDOA
Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa.
Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa kumfanya rafiki Kwanza mtu yule ambaye anategemea kuwa mwenza wake.
Ili amjue tabia yake Kwanza ndipo achukue uamuzi wa kuweka wazi nia yake(hisia zake).
Jambo hili litawafanya wanandoa marafiki kujuana mapungufu yao. Hivyo ni chanzo Cha kuwa na ndoa yenye amani na furaha.
Kwa hiyo nawashauri vijana ambao hawajaoa wasiruke hatua hii kwani ni hatua nyeti Sana.
Achaneni na chura,angalieni kiumbe mwingine anaeishi nchi kavu na majini,,,,,,,,[emoji23](natania)Mkuu sisi ambao sifa kuu ya mke tunaangalia CHURA unatushaur vp
We umeoa?
Sawa tumeachana nae. Tugeukia upande wa nchi kavu basi. Hips zipo hapo?Achaneni na chura,angalieni kiumbe mwingine anaeishi nchi kavu na majini,,,,,,,,[emoji23](natania)
Sidhan km Kuna mwanadamu aliumbwa Bila hipsSawa tumeachana nae. Tugeukia upande wa nchi kavu basi. Hips zipo hapo?
[emoji23][emoji23]atakua kasha Lost ikiwa ndo ivyoBila shaka yupo kwenye mchakato wa kutafuta rafiki aoe.
[emoji23][emoji23]atakua kasha Lost ikiwa ndo ivyo
hao viumbe wengne hawana radha mkuuAchaneni na chura,angalieni kiumbe mwingine anaeishi nchi kavu na majini,,,,,,,,[emoji23](natania)
Huo urafiki unakaa mda gani sas ndo umwambie unampenda au ukishakua marafiki upendo unakuj automatic?URAFIKI HADI NDOA