pnk Member Joined Mar 24, 2015 Posts 55 Reaction score 18 Mar 27, 2015 #1 Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation.
S sempulinho Member Joined Oct 6, 2013 Posts 54 Reaction score 12 Mar 27, 2015 #2 Aya wale ambao wapo serious mdada uyo,sema ajafunguka wa dizai ip
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 27, 2015 #3 dada ni kweli uu mpweke lakini weka vigezo vyako na wewe vyako
The Messenger JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,523 Reaction score 812 Mar 27, 2015 #4 Mimi siko serious sana ila kama unaweza kuni shape nikawa serious karibu...
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,460 Mar 27, 2015 #5 Serious im i but nataka nijue how serious your..! Wat you like to be done
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Mar 27, 2015 #6 Kuna bwana mmoja jana alianzisha thread ya kutafuta girlfriend aliye serious...nitakuwekea link ili mkutane kwa kuwa mahitaji yenu yanafanana na yamekuja wakati mmoja!
Kuna bwana mmoja jana alianzisha thread ya kutafuta girlfriend aliye serious...nitakuwekea link ili mkutane kwa kuwa mahitaji yenu yanafanana na yamekuja wakati mmoja!
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Mar 27, 2015 #7 pnk said: jamani wana jf natafuta boyfriend lakin awe serious na relation Click to expand... Mimi nipo serious ila ninatatizo la kulewa nikitumia vyakula vyenye asili ya ngano. Ukiweza kunivumilia karibu.
pnk said: jamani wana jf natafuta boyfriend lakin awe serious na relation Click to expand... Mimi nipo serious ila ninatatizo la kulewa nikitumia vyakula vyenye asili ya ngano. Ukiweza kunivumilia karibu.
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 Mar 27, 2015 #8 Hivi ushajua hata kujibu PM? Kwa idadi ya post zako utaruhusiwa kutuma pm? btw, Tupo wengi tunaokutaka! lol
Hivi ushajua hata kujibu PM? Kwa idadi ya post zako utaruhusiwa kutuma pm? btw, Tupo wengi tunaokutaka! lol
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,083 Mar 27, 2015 #9 jieleze angalau kidogo...
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 27, 2015 #10 kila la heri
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,926 Reaction score 30,072 Mar 27, 2015 #11 Kila la Kheri
G3T JF-Expert Member Joined May 21, 2013 Posts 816 Reaction score 400 Mar 27, 2015 #12 haya haya wanaume changamkieni fursa hiyo.Chipsi Yai upo wapi?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,926 Reaction score 30,072 Mar 27, 2015 #13 pnk said: Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation. Click to expand... Ni sifa,kitu gani ulichojaliwa wewe ambacho wanawake,mabinti,wasichana mwenzio hawana??Naomba unijibu ili nionyeshe userious wangu kwako.
pnk said: Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation. Click to expand... Ni sifa,kitu gani ulichojaliwa wewe ambacho wanawake,mabinti,wasichana mwenzio hawana??Naomba unijibu ili nionyeshe userious wangu kwako.
M Mpole mimi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 315 Reaction score 104 Mar 27, 2015 #14 Usijal. Utapata
muku JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 312 Reaction score 80 Mar 27, 2015 #15 Mbona wanaotafuta moboifrendi,magerofrendi,wame au wake wengi huwa na ID mpya? NIJUZENI WAKUU....
matthieu mwamengo Member Joined Mar 8, 2015 Posts 19 Reaction score 3 Mar 27, 2015 #16 tutaftane ss weeh unae htaji kutoua upweke.. niko silias kama ulivyo sema..
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Mar 27, 2015 #17 pnk said: Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation. Click to expand... Which relation?;Public relation? Internal relation? or External relation?
pnk said: Jamani wana Jf natafuta boyfriend lakini awe serious na relation. Click to expand... Which relation?;Public relation? Internal relation? or External relation?
beautifulonyinye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 728 Reaction score 481 Mar 28, 2015 #18 King's daughter said: Which relation?;Public relation? Internal relation? or External relation? Click to expand... Hahahah lol
King's daughter said: Which relation?;Public relation? Internal relation? or External relation? Click to expand... Hahahah lol
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Mar 29, 2015 #19 Kama upo serious weka picha tukuone
E Engineer E. Member Joined Mar 1, 2015 Posts 34 Reaction score 2 Mar 30, 2015 #20 nitafute 0713810128