okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Wewe ni k au me?
Wadaa nafasi ya kazi hapa imetangazwa.....
Wadaa nafasi ya kazi hapa imetangazwa.....
We msukuma kweli..???
We msukuma kweli..???
ndiyo mimi wa mwanza mkuu
kubwa zima ujinga tu. Wasukuma cjui mkoje.. Ndo mana mnauziwa TIN number kwa elf 50
dah mkuu umekumbuka nini hadi ukaandika ama tangazo limepita saivi ninikubwa zima ujinga tu. Wasukuma cjui mkoje.. Ndo mana mnauziwa TIN number kwa elf 50
kubwa zima ujinga tu. Wasukuma cjui mkoje.. Ndo mana mnauziwa TIN number kwa elf 50
Invisible naomba sana mniondolee matusi haya kwa uzi wangu,kanikosea heshima mtu huyu.
ParttimeDuty.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less peopleNapenda jitokeza kwa safu hii kutafuta mwenza wa KIKE wa maisha SIFA ZAKE. mwenye hofu ya mungu,awe na elimu kuanzia fomu 4 nakuendelea,itakuwa njema kama atakuwa ameajiriwa katika sekta rasmi,umri wake uwe kuanzia 20~25yrs,awe mrefu na mwembamba wa wastani,na itampendeza mungu zaidi ikiwa atakuwa mkiristo.Rangi yeyote ila weusi uliokoza hapana na wala weupe wa kununua hapana.
SIFA ZANGU,Mimi mkiristo,mwalimu wa sekondari,kabila langu ni msukuma,umri wangu ni 28 yrz.ni mrefu na mwembamba wa wastani na rangi ya maji ya kunde,ni mcha mungu,aliye tayari aongozwe roho mtakatifu anitafute kwa pm