Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.
Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.
Mapenzi ni mtihani ndg yangu unatakiwa kuushinda,cha msingi fanya mambo yako mbona watakufuata wenyewe tu! Mi pia ni mhanga lkn nimejipa likizo kbs kwa muda nafanya ishu zangu tu mbona wenyew wanasumbua. Na pia muombe Mungu sana atakusaidia ktk kipindi hiki.