wewe kutokua karibu yako mwenyewe kivpChuganian upweke sio kukaa peke yako au kua mbali na watu,,upweke ni wewe kutokua karibu na wewe...wewe kutokua karibu yako mwenyewe huo ndio upweke haswa,,kukaa mbali na watu ni kujitenga
mpaka ufanyiwe canceling labdaNdiyo inanitesa sana, nikitoka job (mostly around 8pm), najifungia ndani napiga larger zangu ila ulevi ukiisha naendelea kuwa-bored day after another!!!
Hapo ndio penye ugumu kukuelewesha sababu ni mada ndefu sana ili kuielewa.. Ila nitaifupisha pundewewe kutokua karibu yako mwenyewe kivp
Habari za jioni waungwana,kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini Ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana
poa poaHapo ndio penye ugumu kukuelewesha sababu ni mada ndefu sana ili kuielewa.. Ila nitaifupisha punde
Shukrani sana BIGstalion,msaada mkubwa sana
Kweli@evenhurt kwani nimekuwa nikisikiza miziki ya hudhuni kama "Chikitita tell me what's wrong",nitapunguza kusikiliza
Niliwahi kuachwa/kuachana mara mojaEnzi hizi unafanyaje?
Hata mm,nimemaliza Quantico season two,now nacheki revolution season two.ila ndo ivoMimi huwa nacheki movie jwa saaana
Lucky youNiliwahi kuachwa/kuachana mara moja
Chiquitita, you and I knowKweli@evenhurt kwani nimekuwa nikisikiza miziki ya hudhuni kama "Chikitita tell me what's wrong",nitapunguza kusikiliza
Pole mkuu!!! Binadamu hatukuumbwa kua peke yetu!!! Utaona mambo hayajakamilika tu... Kama umetendwa jipe mda hisia zijikusanye alafu tafuta mtu mwingine
You will have no time for grievingChiquitita, you and I know
How the heartaches come and they go and the scars they're leaving
You'll be dancing once again and the pain will end..
bonge ya wimbo hiyooo
hahahaaa!! you are gud too man!You will have no time for grieving
Chiquitita, you and I cry
But the sun is still in the sky and shining above you
Let me hear you sing once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita
Try once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita
Umenikumbusha zamani sanaaa aiseee. Darasa langu la 4 najifunza kuimba na kuzijua hizi nyimbo,pamoja na I have a dream & viva forever.