Upweke huu mpaka lini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Mwenzenu nimechoka kila dada ninayemfuata hanitaki wazee wenzangu ndio kabisa yaani ni full upweke jamani nisaidieni hata kwa PM.. Nibora niende zangu kwenye raha ya massage pale nanihiii kama wahitaji huduma hii niPM... Kuna mabinti wazuri, jakuzi la ukweli, wana mikono laini na huwezi jutia pesa yako kwa huduma watakayokupa... Karibuni...



 
Hivi mafundisho ya mwanamke akikaa lazima abane miguu siku hizi hamna tena? :confused2:
 
Pole mzee mwenzangu, lakini humu tunasoma maoni yanasema mwenza mwema hutoka kwa God-vumilia labda bado hajashushwa !
 
Endelea kusali na kumwomba Mola akusaidia kupata mke mwema!!
 
Weka adress
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…