mzee wa nguna
Senior Member
- Dec 5, 2012
- 138
- 139
🤣🤣🤣🤣🤣 Au ukute labda ni ladies and gentlemen🤷Mkuu umechanganya ID
futa faster kabla hawajaja
Mkuu umechanganya ID
futa faster kabla hawajaja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au ukute labda ni ladies and gentlemen[emoji1745]
Are you a Christian?Wanajukwaa,
Njooni tusaidiane mawazo kidogo.. I feel lost…seriously.
Nasumbuliwa na upweke yaani Hali ya kujisikia kuwa na mtu ambaye atakuwa ni mwelewa niwe huru kufunguka kwake na yeye awe muwazi. Kwa kifupi Nina hamu ya Ushirika halisi na mwanadamu wa kiume japo sijui ntafanikisha vipi kukutana na mtu wa viwango hivi.
Mahusiano ya kisasa mengi hayakidhi matarajio, wahusika wanaishi kinafiki kwa kuviziana. Matokeo yake, kwa mtu anayejitambua inakuwa ni usumbufu na kutoridhika.
Angalizo:
Nahitaji Mawazo yako tu ya namna ya Kufanya ili kumtambua na hatimaye kukutana na aina hii ya mwanadamu ukizingatia kwamba Mimi ni ke wa makamo.
Mimi ni mtu mwenye shughuli nyingi za uzalishaji hivyo Sina idle time muda mwingi nakutana na watu
Wanawake mnakonda kwa Ego ...Jaalia mtu unamtaka ila hutaki kumwambia kama sio kiburi ni nn?
Utakufa na upweka usione soo sema nae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au ukute labda ni ladies and gentlemen[emoji1745]
Nimeogopa kweli kufika pale, Kwa kifupi Nina hamu ya Ushirika halisi na mwanadamu wa kiume.
Naogopa hadi saiv.
Hata wana familia nao wamekuwa wanafiki kuwa na moyo wa dalali tu. Dalali ana tangaza nyumba imejaa mashetani lakini anakwambia nyumba safi kabisa🤣Mahusiano ya kisasa mengi hayakidhi matarajio, wahusika wanaishi kinafiki kwa kuviziana. Matokeo yake, kwa mtu anayejitambua inakuwa ni usumbufu na kutoridhika
sio kweli sema kuwa serious tu ...Mpe hata mualiko somwhere tulivu then mchane ile kweli pia onyesha nia yako kwake kwa dhati uwe serious sana..Mmmmh wanaume Nyie Nyie
Mtu akifunguka si mnamlabel “malaya”?