Upungufu wa viongozi CHADEMA

hivi kwa upana na upeo wako wa mwisho unafikiri chadema ni lissu na mnyika tuu? Masomi zaidi ya 60 percent ni chadema, fanya uchunguzi utajua! mbona mimi msomi na niko chadema unanijua?
 
Katiba za Leo hazitaji mbunge kuwa waziri....pole sana kwa uhaba wako wa uelewa wa siasa....ajabu kweli
 
 
Katiba mpya (rasimu) imetenganisha ubunge na uwaziri. Kajipange tena
 

umemaliza? b7 zipo mezani kachukue mkuu! kwani TANU wakati inapewa nchi ilikuwa na viongozi gani?
 
mawaziri hawatakuwa wabunge wala wanasiasa, watakuwa wataalamu ambao wako Serikalini kila kona, wengine kwenye taasisi za elimu, umma, kiraia na binafsi.
 
Tunao viongozi wengi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Usihofu mkuu, kwa mujibu wa rasim ya katiba mpya wabunge hawatakiwi kuwa mawaziri na ndani ya cdm kunaraslimali watu wa kutosha, nachokuomba uache kuwa bias, na dharau.
 
Chadem mkiguswa mnawaka wakati hamna watu wa kuwaweka, mnataka kutuwekea wehu kwenye baraza.
 

Matusi hutaki at the same time unaita wenzio wavuta bangi na wapiga disco sijui nikueleweje anyway ndo walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…