Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Halafu kuna watu watakuja kujadili huu ujinga?
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...
Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.
Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.
NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.
akili za kuku hizo
sijajadili,nime comment.Mkuu mboma wewe umejadili?

Hivi man united na simba wanacheza lini?
Wewe hapo kwenye bluu umefanyaje!!? SERUKAMBA MWIGULU KIBAJAJI MASABURI YAKO weye.[/QUOTE
Tusi liko wapi hapo mkuu?
Hii mada itapona kweli? maana mods hawataki CHADEMA ijadiliwe ila kuna thread ya kumchafua Mwigulu humu imeachwa.[/QUOTE
Hawatotenda haki mkuu kama wakiiondoa.