Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,939
Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli.
Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?

Suala la majibu ya kiasi cha damu si namba tu. Hii huendana na umri, hali ya mgonjwa na nadhani hii ni 6.3g/dl.Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli.