Upumzike pema peponi (Maria)


mkuu nahisi maswali yako yote yanajibika kirahisi tu kuwa Maria nae ni binadamu na ni mwanamke pia ana moyo so anapenda so kutamani Chris awe wake peke yake dispite kuwa ni mgonjwa sio ajabu na hawezi kujizuia kisa eti amekua infected. Na hapo kumwonea wivu mpenzi wake kisa katembea na Fatuma hali kadhalika. Iwapo mwandishi asingeweka hivyo vyote tungeamini story ni ya kufikirika. BUT ALL IN ALL TUWAPENDE NA KUWAJALI HAWA WATU NA PIA BIG UP KWA MARIA KWANI BINADAMU WENGI WETU TUMEKUA NA ROHO ZA KIUAJI HAPO INGEKUA MTU MWINGINE ANGEMWAMBUKIZA JAMAA MAKUSUDI TENA ANGEPATA EXCUSE KUWA ALITAKA KUMBAKA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…