Upumbavu wa mataifa ya kiarabu

Status
Not open for further replies.

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,617
8,239
Ama hakika mataifa ya kiarabu yanaongozwa na viongozi wapumbavu kwelikweli,badala ya kupambana na adui yao mkubwa israeli hivi sasa wanamalizana wao kwa wao kwa visingizio vya udini lakini ukweli ni uroho,wizi wa mali ya umma ndio kinachowasumbua.Mataifa yao kama iraq,libya,saudia,yemeni na irani wamo kwenye ugomvi wa kiendawazimu.Haya wajinga ndio waliwao
 
Umesahau upumbavu wa mataifa ya Africa
Halafu adui mkubwa wa Mataifa ya kiarabu ni Israel ?? Nlikua sijui
 
Ama hakika mataifa ya kiarabu yanaongozwa na viongozi wapumbavu kwelikweli,badala ya kupambana na adui yao mkubwa israeli hivi sasa wanamalizana wao kwa wao kwa visingizio vya udini lakini ukweli ni uroho,wizi wa mali ya umma ndio kinachowasumbua.Mataifa yao kama iraq,libya,saudia,yemeni na irani wamo kwenye ugomvi wa kiendawazimu.Haya wajinga ndio waliwao
Wamarekani na Wayahudi wametengeneza makundi mahsusi ya kusumbua kila Taifa la Kiarabu lililo thabiti, unategemea nini !? Umewahi kujiuliza ISIS wanapata wapi silaha na vifaa !??
 
Hata afrika kuna nchi ambazo zipo sambamba na wasaudia,nchi za kiarabu hazielewi baada ya vigogo wao kuuwawa,gadafi na saadamu,anayetafutwa kwa sasa ni Irani na Syria,sio muda saudia itajiunga na nato ili kuinyamazisha Irani na Russia,na india
 
Kweli jf saizi chaka la vichaa sio gt tena kama zamani
Ficha Upumbavu wako..... Usichopenda wewe Wengine Wanapenda... Ndio tabia za kibinadamu huo u great thinker mtu hawezi kuwa nao kwenye kila wazo.... Tumeona MaProfessor wakichemsha n.k n.k... Wacha Mada ijadiliwe kila mwenye wazo lake atoe watu ndio wanapopunguzia stress na kujipatia stress pia hata kama ungekuwa mtu wa aina gani huwezi kuwa mtu serious kila wakati sometimes mind zinataka ujinga ujinga na utani ucheshi burudani n.k sidhani wewe kama sometime hutamani kwenda Beach, kutazama sinema za uongo n.k nakushauri kama ukijiona una akili sana mwishowe huwa ni ujinga kwa wengine ufanyavyo.... Ndio Maana Magufuli anabomolea watu nyumba Wengine wanasikitika na wengine Wanakasirika.... ndio Ujue Binadamu wana Maoni Tofauti... Mimi Mtu mwenye akili awe amefanya kitu cha Maana kwa Jamiii au kuleta jambo either Jipya la kufaidisha Jamii na sio kuponda watu bila kufundisha kinacho stahili.... so Next time kama kitu kimekosewa kosoa na uweke maoni yako mazuri na sio kuponda na kusepa unakuwa mpinzani wa kupuuzwa kwa sababu huna mchango... so ni Bora kuficha Upumbavu wako... by Invisible
 
Ama hakika mataifa ya kiarabu yanaongozwa na viongozi wapumbavu kwelikweli,badala ya kupambana na adui yao mkubwa israeli hivi sasa wanamalizana wao kwa wao kwa visingizio vya udini lakini ukweli ni uroho,wizi wa mali ya umma ndio kinachowasumbua.Mataifa yao kama iraq,libya,saudia,yemeni na irani wamo kwenye ugomvi wa kiendawazimu.Haya wajinga ndio waliwao
Mkuu Irani sio Waarbu either ungesema Nchi zenye Waislam wengi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom