D Danny Jully JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 4,416 Reaction score 3,867 May 24, 2020 #21 kipara kipya said: Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza! Click to expand... Weweee! Tunaongea habari ya watalii hewa hapa, siyo habari ya koona. Koona imeshaisha TZ, hiyo sasa hivi siyo issue tena. Sent using Jamii Forums mobile app
kipara kipya said: Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza! Click to expand... Weweee! Tunaongea habari ya watalii hewa hapa, siyo habari ya koona. Koona imeshaisha TZ, hiyo sasa hivi siyo issue tena. Sent using Jamii Forums mobile app
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,205 Reaction score 127,210 May 24, 2020 #22 Usishangae kukuta hilo wazo ni la kwake. Mmawia said: Wao wanjiona ndiyo wanamfurahisha mteuzi wao kumbe ndiyo wanazidi kuharibu. Enzi hizi siyo za kudanganyana kama zile za RTD pekee yake kama chanzo cha kuwapatia habari wananchi wa Tanzania. In God we Trust Click to expand...
Usishangae kukuta hilo wazo ni la kwake. Mmawia said: Wao wanjiona ndiyo wanamfurahisha mteuzi wao kumbe ndiyo wanazidi kuharibu. Enzi hizi siyo za kudanganyana kama zile za RTD pekee yake kama chanzo cha kuwapatia habari wananchi wa Tanzania. In God we Trust Click to expand...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,250 Reaction score 98,243 May 24, 2020 #23 Muulize yeye maana naamini unamfahamu sana kwani ile kazi uliyo ifanya ukafeli hukupewa kwa bahati mbaya kipara kipya said: Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza! Click to expand... In God we Trust
Muulize yeye maana naamini unamfahamu sana kwani ile kazi uliyo ifanya ukafeli hukupewa kwa bahati mbaya kipara kipya said: Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza! Click to expand... In God we Trust
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,250 Reaction score 98,243 May 24, 2020 #24 Alafu mataga wao bila aibu wanaserebuka kwa kunenua meno mtandaoni Danny Jully said: Wana uso wa.mbuzi hao, hawaoni aibu. Eti watalii waanza kumiminika......!!!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
Alafu mataga wao bila aibu wanaserebuka kwa kunenua meno mtandaoni Danny Jully said: Wana uso wa.mbuzi hao, hawaoni aibu. Eti watalii waanza kumiminika......!!!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,010 Reaction score 74,655 May 24, 2020 #25 kipara kipya said: Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana! Click to expand... Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara! Sent using Jamii Forums mobile app
kipara kipya said: Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana! Click to expand... Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara! Sent using Jamii Forums mobile app
D Danny Jully JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 4,416 Reaction score 3,867 May 24, 2020 #26 Chakaza said: Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili ni nywele.....Bwana upara sasa inakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
Chakaza said: Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili ni nywele.....Bwana upara sasa inakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app