Upotolo wa simu yangu

Sim yako inafanana na ile ya Don Nalimison inajiandika tu Nalia Ombama...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una nini we baba.
Nimekumiss [emoji12]
 
Ilikuwa karibia Ni-spend sku nzima hakika bila kucheka hadi nilipokutana na uzi huu
Eti smu inaandika yenyewe 'Naomba hela ya kula' Duh!
 
Daaah s3 ram yake ndogo mkuu kwa matumizi yako ni kama unaibaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Matumizi yepi? Mi nilitaka iwe reserve phone, nilidhani Ni simu kumbe toy. Saa hizi kamechemka Hadi natamani kukawekea radiator ikapooze.
Mpaka kameharibu mifuko yangu ya suruali, imepauka kwa joto
 
Mpe mtoto achezee kanunue ingine hiyo haikufai hata kidogo!
 
Hiyo ni Hali ya kawaida kwa sisi watumiaji nguli wa tecno, tunao elewa maana ya tecno huwa hatukai na simu zaid ya mwaka 1 tunauza ikafie kwa mtu mwngne
Hii ya kwangu haijatimiza hata mwezi, niliinunua
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa makini na hiyo simu mkubwa inaweza siku ikalipuka ikiwa mfukoni na kuharibu 'mayai'.
Mayai adhimu hayana spea
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tecno bhana hizi ndo sifa zake
 
Hii hii unayotumia humu JF mkuu? Kama ni hiyo amini ni nzima mkuu.

Kuna moja wakati smart zinatoka ilikuwa ni M3, ilkuwa inajifungua saiti za porn tu, na kuitoa sasa hiyo sehemu haitoki mpaka uzime.
naitumia tecno M3 hadi leo
hilo tatizo lilikuwa kwako tu

kwangu nikishapiga simu kioo kikishaondoa mwanga ndio nitolee hio mwanga haurudi mpaka nikate simu lol

kwa sasa natumia Vodafone Vf683

masimu ya zamani kishenz
 
Duh😲😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…