chachandumbaya
Member
- Nov 13, 2013
- 35
- 27
Kuna upotevu wa pesa za wateja katika chumba kuhifadhia pesa zaidi ya sh milioni kumi zimepotewa katika mazingira ya utata cha kushangaza mtunza funguo moja hajalipishwa wamelips ma cashier wawili na mshika funguo moja moja hajaguswa kwakuwa yupo jirani na branch manager. Mwaka jana kulitokeya upotevu wafunguo ndani ya bar ya branch manager alikuwa na watunza funguo wakinywa pombe na wadada washika funguo nyeti