Nimefuatilia kwa karibu sana kuhusu upotevu wa fedha za EPZ Bunda zilizoibuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bunda. Kusema ukweli uchunguzi wa suala hili ungeanza na Mkuu wa Wilaya mwenyewe kwa kuwa yeye ndiyo aliyevuruga utaratibu mzima wa malipo haya kwa baadhi ya malipo kulipwa kama posho badala ya malipo kwa walengwa.