platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,538
- Thread starter
- #21
Mkuu hata kama uwizi ukifanyika benki si ina makao yake inafanya tu transfer ya kurudisha hela za watu.
Btw hii bank ndo nayoipenda na kuiamini kwamba haibi,lakini sasa makato yake kila ukidraw ni balaa,una-draw 30,000 unakatwa 2000-6000
Usiombe wakuibie halafu uanze mlolongo wa 'bureaucracy' utalia. Unaweza kurudishiwa lakini haya mabenki wana mlolongo mrefu mpaka urudishiwe pesa kwenye akaunti. Muhimu ni kukaa kwa kuwindana tu, hakuna kumwamini mtu/taasisi