Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
- Thread starter
-
- #21
NakujaNjoo upande huu kwan nn bhna......
NakujaNjoo upande huu kwan nn bhna......
= Popo kanyea mbinguWhy broke? Me too nko broke. So broke + broke=?
Cooona ehhUamuzi mzuri sana mkuu,tulia nyumbani ujilinde na uwalinde unaowapenda,nyakati siyo nzuri hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee uzi una makusudi huu[emoji848][emoji848] na cjuagi kudanganya. NIPO NAJIPIKIA nikimaliza najikaribisha "karibu chakula bebi"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
PooleeSwali lako linanitonesha vidonda.
Ni siku kadhaa tupo kwenye mzozo na bebe ulopelekea ukimya hadi hivi sasa, basi ni kuviziana kuchunguliana tu whatsapp, sijui yataisha vipi haya.
Anyway nipo kazini dada [emoji22].
Mi ntamkumbuka ngoja nidili na huyu mlevi wanguMkumbukeni Mola. Mkumbukeni Mola. Mkumbukeni Mola. Nimewakumbusha mara ^tar-two^
Bahati mbaya sina bebii kipindi hiki so valentine imenikuta nikiwa singo....
Nimepiga kiporo changu cha pilau nimepanda kitandani kuusaka usingizi....
Mwenzangu wewe uko wapi mda huu?
KweliiiNipo huku JamiiForums nafuatilia comment zote siachi hata nukta!swali la ni kwamba tangia lini kiporo kikaliwa mchana badala ya asubuhi na chai [emoji477]️!wewe haupo single maana single hana ujasiri wa kupika pilau
Huamni? Poa.....najiandaa naenda live vband manyelezNipo huku JamiiForums nafuatilia comment zote siachi hata nukta!swali la ni kwamba tangia lini kiporo kikaliwa mchana badala ya asubuhi na chai [emoji477]️!wewe haupo single maana single hana ujasiri wa kupika pilau
WapiiNjoo nikutoe out basi
Calabash hapa au unapenda wapi?Wapii