madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,925 Oct 12, 2018 #42 Mwanalumango kwa kina hajar
K kitiji Member Joined Jun 28, 2018 Posts 68 Reaction score 55 Oct 12, 2018 Thread starter #43 Nokia83 said: Nipo huku nimewekeza kwny majahazi Click to expand... safi mkuu na majahazi yako lakini nasikia uko karafuu ndio kila kitu,
Nokia83 said: Nipo huku nimewekeza kwny majahazi Click to expand... safi mkuu na majahazi yako lakini nasikia uko karafuu ndio kila kitu,
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 12, 2018 #44 Hajar said: Hahahaaa. Hiyo ni Wilaya Kaka iko Ntwara. Click to expand... Aisee kweli tz ni kubwa, chamaki nchanga hivi bado Wa napatikana huko
Hajar said: Hahahaaa. Hiyo ni Wilaya Kaka iko Ntwara. Click to expand... Aisee kweli tz ni kubwa, chamaki nchanga hivi bado Wa napatikana huko
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 12, 2018 #45 Mndali ndanyelakakomu said: Chiweta malawi Click to expand... Bro!! Heshima yako
Jason Statham2 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 696 Reaction score 1,017 Oct 12, 2018 #46 Itongo BK
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Oct 12, 2018 #47 dingimtoto said: Bro!! Heshima yako Click to expand... Mi mzima mkuu habari ya ujenzi wa nchi yetu
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,394 Reaction score 10,836 Oct 12, 2018 #48 Hajar said: Ndio Ntwara huko Click to expand... kumbe mtwara hiyo, wanasema sikuhizi mtwara wanajua kupenda tanga inasubiri. ni kweli?
Hajar said: Ndio Ntwara huko Click to expand... kumbe mtwara hiyo, wanasema sikuhizi mtwara wanajua kupenda tanga inasubiri. ni kweli?
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 12, 2018 #49 Mndali ndanyelakakomu said: Mi mzima mkuu habari ya ujenzi wa nchi yetu Click to expand... Hahaha!! Ni nzuri tunaendelea maana tupo kwenye rait traki kwema huko?
Mndali ndanyelakakomu said: Mi mzima mkuu habari ya ujenzi wa nchi yetu Click to expand... Hahaha!! Ni nzuri tunaendelea maana tupo kwenye rait traki kwema huko?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Oct 12, 2018 #50 dingimtoto said: Hahaha!! Ni nzuri tunaendelea maana tupo kwenye rait traki kwema huko? Click to expand... Huku kwema kabisa Manapaswa kuwa wavumilivu maana mapito hayakosekani kwenye maisha ya mwanadamu Habar zaid mkuu
dingimtoto said: Hahaha!! Ni nzuri tunaendelea maana tupo kwenye rait traki kwema huko? Click to expand... Huku kwema kabisa Manapaswa kuwa wavumilivu maana mapito hayakosekani kwenye maisha ya mwanadamu Habar zaid mkuu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 12, 2018 #51 dingimtoto said: Aisee kweli tz ni kubwa, chamaki nchanga hivi bado Wa napatikana huko Click to expand... Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? πππ
dingimtoto said: Aisee kweli tz ni kubwa, chamaki nchanga hivi bado Wa napatikana huko Click to expand... Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? πππ
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 12, 2018 #52 torvic said: kumbe mtwara hiyo, wanasema sikuhizi mtwara wanajua kupenda tanga inasubiri. ni kweli? Click to expand... Hahahaaa. Hawajafiki bado Mkuu. Tanga itaendelea kuwa namba moja. ππ
torvic said: kumbe mtwara hiyo, wanasema sikuhizi mtwara wanajua kupenda tanga inasubiri. ni kweli? Click to expand... Hahahaaa. Hawajafiki bado Mkuu. Tanga itaendelea kuwa namba moja. ππ
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Oct 12, 2018 #53 Hajar said: Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? Click to expand... Duuuh nakumbuka miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa huo mkoa ntwara ukienda vijijini ndio utajua kuna mboga huwa zinatumika vizuri kabisa
Hajar said: Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? Click to expand... Duuuh nakumbuka miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa huo mkoa ntwara ukienda vijijini ndio utajua kuna mboga huwa zinatumika vizuri kabisa
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 12, 2018 #54 Mndali ndanyelakakomu said: Huku kwema kabisa Manapaswa kuwa wavumilivu maana mapito hayakosekani kwenye maisha ya mwanadamu Habar zaid mkuu Click to expand... Kweli kamanda ngoja tuvumliane, tu hamna namna
Mndali ndanyelakakomu said: Huku kwema kabisa Manapaswa kuwa wavumilivu maana mapito hayakosekani kwenye maisha ya mwanadamu Habar zaid mkuu Click to expand... Kweli kamanda ngoja tuvumliane, tu hamna namna
Rijali jandoni JF-Expert Member Joined Apr 5, 2018 Posts 2,165 Reaction score 2,251 Oct 12, 2018 #55 Ifumange said: Nimetekwa hata sijui hapa ni wapi Click to expand...
Ifumange JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 902 Reaction score 1,076 Oct 12, 2018 #56 kitiji said: umezungukwa na mabaunsa! angalia usalama wako wa rinda vizuri awachelewi hao Click to expand... Hapo sasa maana sijui ntasemaje kwa mwenyewe
kitiji said: umezungukwa na mabaunsa! angalia usalama wako wa rinda vizuri awachelewi hao Click to expand... Hapo sasa maana sijui ntasemaje kwa mwenyewe
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 12, 2018 #57 Hmm!1 kwakweli mimi sili ila labda kambwa ndio nakula Hajar said: Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? Click to expand...
Hmm!1 kwakweli mimi sili ila labda kambwa ndio nakula Hajar said: Hahahaaa. Wamejaa tele chamaki nchanga kwani unakula hii kitu na weye Kaka? Click to expand...
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 12, 2018 #58 Mndali ndanyelakakomu said: Duuuh nakumbuka miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa huo mkoa ntwara ukienda vijijini ndio utajua kuna mboga huwa zinatumika vizuri kabisa Click to expand... Hahahaaa. Niliona video moja hiyo yaani hawa madereva wa magari makubwa wanakulaga sana hizi nyama aiseee. Wanakaushiwa kisha wanauziwa nikasema. Duuhh.
Mndali ndanyelakakomu said: Duuuh nakumbuka miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa huo mkoa ntwara ukienda vijijini ndio utajua kuna mboga huwa zinatumika vizuri kabisa Click to expand... Hahahaaa. Niliona video moja hiyo yaani hawa madereva wa magari makubwa wanakulaga sana hizi nyama aiseee. Wanakaushiwa kisha wanauziwa nikasema. Duuhh.
Rijali jandoni JF-Expert Member Joined Apr 5, 2018 Posts 2,165 Reaction score 2,251 Oct 12, 2018 #59 nipo stand ya mkoa daslamu hapa ndio nimeingia jana nasubiria lift hakuna wakunisaidia wayego? hata nikapige tonge mbili tatu kesho nikasake kibarua
nipo stand ya mkoa daslamu hapa ndio nimeingia jana nasubiria lift hakuna wakunisaidia wayego? hata nikapige tonge mbili tatu kesho nikasake kibarua
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,096 Reaction score 122,459 Oct 12, 2018 #60 dingimtoto said: Hmm!1 kwakweli mimi sili ila labda kambwa ndio nakula Click to expand... Huwa waliokula wanasifia sana kwamba nyama yake iko poa. Jaribu siku moja bana. πππ
dingimtoto said: Hmm!1 kwakweli mimi sili ila labda kambwa ndio nakula Click to expand... Huwa waliokula wanasifia sana kwamba nyama yake iko poa. Jaribu siku moja bana. πππ