Huenda hata wenzetu Uganda wakaja kufanikiwa katika harakati zao dhidi ua dola mapema zaidi kwa kuangalia kuliko Tanzania.
Mbali na upinzani wa Tanzania kuwepo kwa takribani miaka 24 sasa, haujawahi kufanikiwa katika jambo lolote lile ulilopigania dhidi ya dola. Achilia mbali kumbukumbu kuwa upinzani wa Tanzania umekuwa katika harakati nyingi kwa muda mrefu kupita nchi nyingi za ukanda huu.
Kenya walianza wakaweza, na sasa pengine ndilo taifa lenye demokrasia pana zaidi baada ya mataifa kama Ghana na Afrika kusini. Wenzetu Uganda, DRC, Burundi wanaonekana kuwa ni wapinzani thabiti kuliko sisi Tanzania.
Je, ndani ya upinzani wa Tanzania kumepandikizwa virusi? Hata katiba na tume huru tu ya uchaguzi wameshindwa kudai kweli? Wanaonekana kuwa na dira kwa sasa? Waweke wapi uthabiti na waanze na lipi? Kina nani wawe msitari wa mbele?
ndo kitu tunachokisubiri hizi porojo za hatutaki kumwaga damu hatuzitaki tena. hakuna ukombozi bila kumwaga damu historian inatufundisha hivyo.Huenda hata wenzetu Uganda wakaja kufanikiwa katika harakati zao dhidi ya dola mapema zaidi kwa kuangalia kuliko Tanzania.
Mbali na upinzani wa Tanzania kuwepo kwa takribani miaka 24 sasa, haujawahi kufanikiwa katika jambo lolote lile ulilopigania dhidi ya dola. Achilia mbali kumbukumbu kuwa upinzani wa Tanzania umekuwa katika harakati nyingi kwa muda mrefu kupita nchi nyingi za ukanda huu.
Kenya walianza wakaweza, na sasa pengine ndilo taifa lenye demokrasia pana zaidi baada ya mataifa kama Ghana na Afrika kusini. Wenzetu Uganda, DRC, Burundi wanaonekana kuwa ni wapinzani thabiti kuliko sisi Tanzania.
Je, ndani ya upinzani wa Tanzania kumepandikizwa virusi? Hata katiba na tume huru tu ya uchaguzi wameshindwa kudai kweli? Wanaonekana kuwa na dira kwa sasa? Waweke wapi uthabiti na waanze na lipi? Kina nani wawe msitari wa mbele?
Mbowe na viongozi wengine wa upinzani waelewe kuwa mengi ya wanayodai hawatapewa kama pipi. Ni lazima wao walale kwanza rumande tena isiyo ya kitoto.Wapewe virungu vya kutosha bila kukata tamaa na wapitie msoto kama wenzao kina Raila na wengine! Wakiogopa hilo basi wasubiri kizazi chenye uthubutu kije kufanya hayo ila wasitarajie badiliko lolote bila kutoka jasho tena jasho litakaloonekana hata na mtoto mchanga aliyezaliwa leo!!
tuanze vuguvugu LA kudai kudai katiba mpya sasa.kama cdm huu mziki hawauwezi tutajitokeza wengine tusio na vyama. haya mambo ya kuogopa kupotezwa yanatupotezea muda. namkubali sana mh Godbless lemaHuenda hata wenzetu Uganda wakaja kufanikiwa katika harakati zao dhidi ya dola mapema zaidi kwa kuangalia kuliko Tanzania.
Mbali na upinzani wa Tanzania kuwepo kwa takribani miaka 24 sasa, haujawahi kufanikiwa katika jambo lolote lile ulilopigania dhidi ya dola. Achilia mbali kumbukumbu kuwa upinzani wa Tanzania umekuwa katika harakati nyingi kwa muda mrefu kupita nchi nyingi za ukanda huu.
Kenya walianza wakaweza, na sasa pengine ndilo taifa lenye demokrasia pana zaidi baada ya mataifa kama Ghana na Afrika kusini. Wenzetu Uganda, DRC, Burundi wanaonekana kuwa ni wapinzani thabiti kuliko sisi Tanzania.
Je, ndani ya upinzani wa Tanzania kumepandikizwa virusi? Hata katiba na tume huru tu ya uchaguzi wameshindwa kudai kweli? Wanaonekana kuwa na dira kwa sasa? Waweke wapi uthabiti na waanze na lipi? Kina nani wawe msitari wa mbele?
Mbowe na viongozi wengine wa upinzani waelewe kuwa mengi ya wanayodai hawatapewa kama pipi. Ni lazima wao walale kwanza rumande tena isiyo ya kitoto.Wapewe virungu vya kutosha bila kukata tamaa na wapitie msoto kama wenzao kina Raila na wengine! Wakiogopa hilo basi wasubiri kizazi chenye uthubutu kije kufanya hayo ila wasitarajie badiliko lolote bila kutoka jasho tena jasho litakaloonekana hata na mtoto mchanga aliyezaliwa leo!!
Mkuu viongozi tunao wategemea wafungue njia ya mabadiliko ni wabinafsi mabadiliko ya kweli yatakuja baada ya viongozi kuweka uzalendo mbele kuliko masilahi yaoHv kwann viongoz wa africa n walaf wa madaraka?.....hawaheshm demokrasia kabsaa.....lakn kinachoangusha upinzan n uwoga na ujinga wa watu.....uwoga kwakuwa watz hawana hata ushrkiano wanaish tu kwakuwa bado wako hai....na ujinga kwakuwa watu weng hawajaelemika haswa kuhusu masuala ya kiukomboz.....CCM itatawala kwa mabav kwa miaka ming sana tz....
Upinzani siyo kufanya fujo kwa njia yeyote ile hata kwa vyombo vya habari.Ni kwasabab sirikal ni wanafiki wanasema wanasimamia ktk democracy wakat uhuru kwa wapinzan na medias vinagandamizwa, pia wapnzan nao wanafiki maana hawanaga ideology ya kueleweka na wakaisimamia mf walisema Ed''lowas* ni fisad na kutembea nchi nzma kutueleza ninj7nsi gan jamaa fisad wakamhusisha na kila kashifa mf Richmond lakn leo wamemkumbatia na wanamsafisha kwa kasi ya ajab na kusema hakuhusika Richmond bali ilikuwa ni order ya mamlaka ya juu......
Nbenye unafiki uliokithili ni vigum jambo kufanikiwa
Jichinje ili umwage damu yako.Mimi hapana.ndo kitu tunachokisubiri hizi porojo za hatutaki kumwaga damu hatuzitaki tena. hakuna ukombozi bila kumwaga damu historian inatufundisha hivyo.
GSam naona akili yako matope matupu,hata Tanzania ni lini wapinzani wamewahi kushika dola halafu wakashindwa kuongoza? Nchi zote maskini za Afrika hazijawa tayari kwa mfumo wa vyama vingi.Wapinzani wote katika Afrika wanaonekana kama ni maadui katika serikali zilizoko madarakani ndio maana kila kukicha wanasakamwa tu.Angalia katika nchi zilizoendelea ambako vyama pinzani na vilivyoko madarakani wanavyopokezana kutawala.Huwezi kusikia chama kilichoko madarakani kinanyanyasa vyama vingine ambavyo haviko madarakani.Vyama pinzani vikipewa fursa ya kuongoza haviwezi kushindwa kwani hawa wanaongoza wao dawa ya kufanikiwa kutawala waliipatia wapi ambako wapinzani hawawezi kuipata???.Huenda hata wenzetu Uganda wakaja kufanikiwa katika harakati zao dhidi ya dola mapema zaidi kwa kuangalia kuliko Tanzania.