Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja.
Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto zake.
Mwisho: acheni kudakia dakia mambo nyny siyo kuku ni watu inatakiwa mtumie akili mjenge hoja zenye mashiko badala ya ku copy na kupest hoja za watu waliofeli siasa