Upinzani Venezuela wakamata kituo cha mafuta

Upinzani Venezuela wakamata kituo cha mafuta

keshokutwa ndo tutaanza kuona mwelekeo wa hili zengwe,maana marekani na wapambe wanataka kuingiza misaada kwa nguvu na venezuela wamejipanga kuzuia,kumbuka msalaba mwekundu walikataa kujihusisha na misaada hiyo kwa madai sheria yao inazuia misaada kutumika kisiasa,hapo marekani anataka venezuela waizuie ili apate sababu ya kuingia kijeshi
Binafsi nimeanza kulichukia taifa la Marekani katika mgogoro huu wa Venezuela
 
Back
Top Bottom